HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 11, 2015

PICHA MBALI MBALI KATIKA TUKIO LA AJALI ILIYOTOKEA LEO HUKO MKOANI IRINGA

Simanzi katika Hospitali ya Wilaya ya Mafinga wakati maiti zilizopatikana kwenye ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,zikiwasili. Zaidi ya 30 wamepoteza maisha katika ajali hiyo iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.Picha zote na Mdau Baraka Chibiriti.
Ni majonzi kwa kila alefika kwenye hospitali hii.
 Sehemu ya Wasamalia na Mafundi waliosaidia kazi ya kuyatenganisha magari hayo wakiangalia kama kuna watu waliosalia kwenye basi lililopata ajali leo kwa kugongana na kuangukiwa na lori la Mizigo.
 Lionekanavyo basi hilo kwa nyuma.
 Basi hilo linavyoonekana baada ya ajali hiyo ambayo imeleta majonji makubwa sana kwa Taifa.
 Kontena la Lori hilo likiwa limewekwa pembeni baada ya kuondolewa kwenye eneo la Ajali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad