HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 4, 2013

Mwili wa Msanii Albert Mangwea wawasili nchini Mchana huu

Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.
Gari iliyobeba mwili wa Marehemu Albert Mangwea ikisukumwa na Mashabiki wake kutoka kwenye Sehemu ya maalum iliyokuwa imehifadhiwa maiti hiyo.Mwili wa Marehemu Mangwea umepelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili,ambapo taratibu za kuuga mwili huo zitafanyika kesho kwenye Viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar kuanzia asubuhi.
Msafara ukielekea Muhimbili.
Gari maalum la Kubeba Mwili Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari tayari kwa kubeba mwili.
Wadau kibao wapo uwanja hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.
Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya hapari uwanjani hapa.
Prof. Jay nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.
Wadau.
Watu kutoka kila pembe ya jiji la Dar wakiwa uwanjani hapa kuupokea mwili wa Msanii wao.
Wanahabari wakitafakari jambo.
Wakiwa wamejipanga tayari kwa kuubeba mwili wa Marehemu Mangwea.
Mkurugenzi wa Zizzou Fashion,Othman Tippo (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau waliofika uwanjani hapo.
Wasanii mbali mbali wapo uwanjani hapa hivi sasa.
Madee akimzungumzia Marehemu Mangwea.

14 comments:

  1. We love you but god loves you so much Albert. RIP Amen

    ReplyDelete
  2. Very Touching. RIP brother Albert. The bible says Heri siku ya kufa kuliko ya kuzaliwa.

    ReplyDelete
  3. dat's sup! safi sana watu show some lov n' respect! RIP A REAL MC!

    ReplyDelete
  4. Dah, Rest In Peace Kaawezy, ka Obama.
    huo msemo tutaumis sana

    ReplyDelete
  5. kila binadamu inafika muda kazi inakuwa imekamilika hapa duniani,jifikirie ukiondoka watu watahuzunika juu yako
    Albert kakamilisha kazi yake na kuacha pengo....nitamis sana zile freestyle za ukweli!ameniachia kwani hakuna kama a.k.a MIMI
    "REST IN PEACE BUDDY"

    ReplyDelete
  6. We will miss u brother R.I.P Mungu kakupenda zaidi...

    ReplyDelete
  7. RIP Al you were still full of life but God has plans for you.

    ReplyDelete
  8. mbona bongo movies siwaoni au wao hawahusiki???

    ReplyDelete
  9. Rest In Peace dogo, kazi umefanya lakini kazi ya Mungu haina makosa. We are ALL coming through same way, suala ni nani ataanza tu! May the God Almighty be with and protect your spirit. (Kiddo - Rocky City)

    ReplyDelete
  10. MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI. SISI KAMA WANADAMU TULIKUPENDA NA TUMEBAKI NA MAJONZI LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI

    ReplyDelete
  11. SOMETIMES PPL WISH TO WITNESS THE STAR UP ABOV ALL DAY ALL9T,,N THIS IS DA FUCT,,BUT SOMETIMES STAR GOTTA TO MOVE TO DA OTHERSIDE 4 SPECIAL REASON I GUES,,SO DOES TO OUR BLVD STAR MANGWEA,,WHO ELS IN DA SO CALLED KITAA WOULDNT HAVE FEEL SUCH MC?,,HE WAZ AN ATST,,,ONE OF THE BST EVA DOWN HERE,,BUT THEN AGAIN WHAT CAN ONE OF US DO TO STOP THE ALMIGHT 4RM DO HEZ JOB?,,SINCE WE ALL NO AINT NAN OF US CAN STOP HM ,,THEN AGAIN THERE IS NATING CAN ONE OF US SAY BUT TO WISH MANGWEA ALL DA BEST AHEAD,,,COZ TO B HONESTLY HAKUNA MIONGONI MWE2 ANAETAMBUA YATAKAYOJIRI KWENYE MEZA YA MAMLAKA YA MFALME WA MBINGU NA NCHI,,R.I.P THUGG,,WE ALL GON BE THERE EVN2AL,,N DAT IS WATZ UP,,ACCODING TO DA BOTTOM LINE

    ReplyDelete
  12. Mhubiri 7:17.... Usiwe mwovu kupita kiasi, wala usiwe mpumbavu; kwani ufe kable ya wakati wako? UJUMBE KWA WOTE MLIOTOA POLE ZENU HUKU.

    ReplyDelete
  13. Pesa,Kifo,Ummma au Taasisi ndiyo mwisho wa uteja

    ReplyDelete

Post Bottom Ad