HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2013

Hivi ndivyo Marehemu Albert Mangwea alivyoagwa leo jijini Dar

Pichani ni Kamati ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea.
 Watu mbali mbali walijitokeza kumuaga Mangwea kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar leo.
 Ommy Dimpoz akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mangwea.


 Wasanii mbali mbali
 Wadau.
 Ndugu na jamaa wa Marehemu Mangwea.
 Mazungumzo ya hapa na pale.
 DJ Venture akimzungumzia Marehemu Mangwea.
Wasanii mbali mbali wakiwa viwanjani hapo.
 Wadau.
 Ulinzi ulikuwa ni wakutosha kabisa.




















4 comments:

  1. thanks for giving us a sneak of what happened.

    ReplyDelete
  2. Hukuwa na mali nyingi lakini upendo na unyenyekevu ulokuwa nao umewatoa watanzania maelfu majumbani mwao kuja kukuaga. Wengine kama mimi nimekuagia mtandaoni. Nitakupenda na kukukumbuka daima. Naomba mungu aniwezeshe katika udhaifu huu wa kibinadamu bado niweze kuacha legacy. Pumzika salama Albert.

    ReplyDelete
  3. rafiki wa kutupa habari.nashukuru sana kaka michuzi coz umetupa pic kabili za kuuga mwili wa mpendwa wetu mangwea.tunashukuru sana na kesho tunaomba pia utupe za huko kihonda.mungu awafariji watanzania wote na ndugu ake.

    ReplyDelete
  4. kila nafsi itaonja mauti japo ugumu ni nani anaetangulia R.I.P ngweah kwel tulikupenda lakin aliyekuleta duniani amekuita kwake pumzika kwa amani kaka

    ReplyDelete

Post Bottom Ad