HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 4, 2012

Redd's Miss Tanzania 2012 ni Brigitte Alfred

Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred (katakati) akiwa na mshindi wa Pili,Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu,Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 iliyomalizika usiku huu katika ukumbi wa hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
 Miss Tanzania aliemaliza Muda wake,Salha Israel akiwa kaketi kwenye kiti kabla ya kukabidhi taji kwa Redd's Miss Tanzania wa sasa,ambaye ni Brigitte Alfred aliepatikana usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl,Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
 Redd's Miss Tanzania wa sasa, Brigitte Alfred akifurahia mara baada kutangazwa mshindi wa taji hilo usiku huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl,Ubungo Plaza jijini Dar es salaam
 Salha Israel akimvisha taji la Redd's Miss Tanzania,Mrembo Brigitte Alfred mara baada ya kutangazwa mshindi.
 Redd's Miss Tanzania wa sasa, Brigitte Alfred (alieketi) akiwa na wenzake alioingia nao katika hatua ya tano bora pamoja na Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Salha Israel (wa tatu kushoto).
 Redd's Miss Tanzania wa sasa, Brigitte Alfred (alieketi) akiwa na wenzake alioingia nao katika hatua ya tano bora.
 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Noah kwa Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.
 Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred akiwasha gari yake.
 
Warembo wakipita jukwaani na Mavazi ya Ufukweni.
Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora.
Warembo walioshinda mataji mbali mbali ya awali.
Tano bora.
Jaji Mkuu wa Miss Tanzania,Prashanti Patel akitangaza warembo walioingia hatua ya Tano bora.
Waendeshaji wa Show hiyo,Taji Liundi na Jokate Mwegelo wakiwajibika.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Diamond Platinum akiwarusha wadau ndani ya show ya Redd's Miss Tanzania usiku huu.
Wacheza show wa Diamond wakiwajibika.
Wadau kutoka TBL.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akifatilia show kwa makini.
Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo nae alikuwa makini kuhakikisha anaona vyema show hiyo.
Boss wa Zamani wa Masoko wa TBL,David Minja akijadiliana jambo na Mdau Richard Kasesela wakati wa Onyesho la kumsaka mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 usiku huu ndani ya Ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl,Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
 Boss wa Masoko wa sasa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas akifatilia mashindano hayo.
Mdau akifatilia kwa makini show.
Mie nikiwa na Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti.
Wadau wa aina mbali mbali walikuwepo ukumbini hapo.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas (katikati) akiwa katika mazungumzo na Meneja wa Masoko wa TBL,Fimbo Buttallah (kulia).
Wadau.
Mie nikiwa na Mdau Innocent Melleck.
Hii ndio meza ya Wanalibeleke ambao walikuwa walirusha moja kwa moja kila kilichokuwa kikijiri ukumbini hapo.toka kulia ni Mroki Mroki,Mie,Ahmad Michuzi, Shamim Mwasha wa 8020 Fashions Blog pamoja Francis Dande anaeonekana kwa mbali kushoto.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad